Wednesday 7 January 2009

Tanzania hiyo

Dah kweli mtu kwao, leo nimewaletea kile kibao walichoimba, wazee wa sikinde, kinaitwa ''TANZANIA HIYO'' Kitu hicho kilibamba sana zamani ambacho bado kipo juu.

Kukisikiliza vizuri nenda katika, http://nukta77.com/burudani.aspx
Kuna track kibao ambazo zinanikumbusha nyumbani nahaidi ndarudi home is the best,sweet home.

Wednesday 31 December 2008

WHAT IF TANZANIA COULD DO THESE TO HIS PEOPLE

WHAT IF TANZANIA COULD DO THESE.........

I start 2009 with new Tanzania in my head, which i personal belive its possible if people concerned will look in details at these few things in order to make their people happier in this competitve world.

To day new 2009 am looking forward to my beutifull country, with full of natural reserves such as SAFARI's and most important one is PEACE around its conner. Let me give the actual population figure of Tanzanian, estimated in mid-year 2007 is 40.4 million people by world bank data source, Waw to my point of view that is more than fantastic population figure, with this number of people and the area its has, compare to the country such as Great Britain Tanzania we are three times bigger than British country.

Lets have a look in terms of business matter, doing business with Tanzania its possible facts that, there is no Language issues because all of Tanzania they speak same Language known as SWAHILI, Swahili its very easy language to adopt, secound they speak Business Language too (ENGLISH).

As investors going doing Business with Tanzania there very good chance to gain markert share.(its just lil'bit, contact me for more information).

Turudi kinyumbani sasa kwa hapa nyumbani, kuna vitu kibao kama serikari yetu ikivivalia njuga tunaweza kupingana na umaskini, kwani sisi wenyewe tunatosha ukiangalia kiundani katika suala la human resourse tuko wengi kwahiyo cha msingi serikari ambayo ni sisi wenyewe wanakijiji, tunaweza tukajipatia pato la nguvu kama tukizingatia hawa watu tuliopo na tunaweza tukawa na maisha mazuri sana ya bila hata kuwa na tamaa ya rushwa kwani kila mtu atakuwa na maisha mazuri ambayo si rahisi kwa watu kuanza kugombeana rushwa. Nakumbuka Mwl Julius Nyerere pale kimwaga mnamo mwaka 1995 aliweza kulieleza suala hili kwamba watanzania wamechoshwa na rushwa, na rushwa yeye alishakumbana nayo mara kibao katika wakati wauongozi wake na alikuwa anaichukia sana tuu. mfana nakumbuka kipindi kile cha njaa kuna jamaa mmoja menager na wafanyakazi wenzake walifukwazwa kazi pale mjini Shinyanga National Milling sijua kama wala Rushwa wanalikumbuka hili.

Tunaweza kujidisplini wenyewe ili tushindane na mataifa mengine kiuchumi ukinzingatia kwa sasa kuna vyombo vya habari vingi nchini na hata nchi za nche kama CNN hii chanel inaangaliwa na watu wengi n'nje ya nchi na mimi mwenyewe nimeshuhudia au naangalia kila leo nchi jirani zetu wanavyo jitangaza mfano Kenya ambao wapo karibu yetu, wanatushinda nini hawa jamaa zaidi ya ukabaila..heh heh, Angalia sasa hata Namibia wanatangazo lao CNN jamani WATANZANIA tutachekwa baadae hata na watoto zetu watakuwa wakisema baba zetu waliachwa hata na Wanamibia..
Mfano mwingine MEXICO nao wapo pia, heh heh inanibidi nicheke kwani siyo nafurahia bali nina machungu na nchi yangu

Jamani tuwe makini Kitengo kinachohusi kiwe kinafanya kazi, nahisi nikitengo cha Mali asili na Utalii, kwani nina atakeye toka Njombe kwenda Beach Bagamoyo, kama nyinyi kitengo msipo wafikishia ujumbe kwamba muda mwingine wawe wanakuja sikukuu kupumzika Bagamoyo. Acha na hapo nchini hata huku nchi za Western msipo waonyesha vivutio vyetu, hawata kuja kwahiyo nasema siyo tuu kwamba kitengo husika hakifanyi kazi bali kizidishe kuinvest hata kwenye media platforms. Ndiyo tumeyaoona mabango London, kwenye mabasi, tax, tubes, trains n.k, inabidi tuzidishe hata kwenye TV zao pia. Au vipi wakina baba na wakina mama mimi ndakuwa kazi yangu kushtua sehemu tulizo sahau hii nahaidi ndaifanya bure kutokana na mapenzi na Na TAIFA langu ambalo mpaka sasa najivunia kuwa mimi mtanzania.

Kuna mambo mengi tuu tukijaribu kubadilishana mawazo tunaweza hata sisi siku tukawa kama JAPAN kwani nao walikuja kusoma ulaya kama Mwalim Julius Nyerere na wakarudi na maujuzi kibao kwao, na naamini kuna watu wengi sana nje ya Tanzania ambao siku wanatamani kuja home kumalizia hasira zao za vitabu walivyosoma kwenye mazingira ya taabu. Mfano barabara ni muhimu sana katika jamii ya mwana damu kwani ndio kiunganishi kinacho mfanya aende kutafuta riziki halafu utakuta kuna foleni si ya kitoto, sasa huyu mtu atafanya kazi masaa mangapi ili aweze kukimu mahitaji yake na familia yake ambayo inamtegemea kwani serikari haitoi social benefit kwa watu wake, kwa kuwa ni maskini.

Hata kama hivyo jaribuni kuweka utaratibu ambao mtu anaweza kwenda mzigo akarudi nyumbani kufurahia maisha na familia yake, au vipi Wazazi hapo vipi..
Si shida social benefits basi jaribuni hizi uduma za jamii flani ziwe zinakwenda faster kwani zinaweza kumfanya mtu akapiga hata kazi mbili ili kijikimu na maisha.
Na kama mtakuwa mnafanya dili na wajenga mabarabara wawe wakweli katika kutimiza ahadi zao, muwe mnawatila mkazo kwani hizo pesa mnazowapa inabidi wazifanyie kazi kwani ni mali ya wananchi, Inatakiwa kuwapushi(au kuwasukuma kwani huku wao wanatusukuma sana na kazi zao wanataka tuwe tunamaliza kwa muda ulio pangiwa.)

Nakumbuka kwenye baadhi ya hutuba za mwalimu alikuwa ameyaona matatizo kama haya alisema na nukuu ilikuwa imeandikwa kwa kingereza kuwa,'' matatizo ya nchi yute hatuna managerial skill na tatizo la kifedha'' Itakuwa ni ngumu kuamini kama watu bado watakuwa hawajaliona suala hili, ambapo dunia kwenye watu hakuna kinachoshindikana, asikudanganyeni mtu kwamba vitu vingine haviwezekani vitu kibao vinawezekana ni juhudi za mtu mwenyewe tumeona mangapi au tumeshuhudia(kuandikwa) mangapi watu walikwenda mwezini wakarudi na nchi gani ya kwanza kuweka bendera chini ya bahari kama siyo Russia leo hii.

Ndugu zangu ni hayo kwa sasa namimi nahaidi sita kuwa mchoyo kuwapa MADILI MASELA WANGU TANZANIA NA AFRIKA.

Na mtu ukiisoma hii mfikishie au mshitue mwenzio aisome ili tupata utamu huu wote jamani,
Kwani wasomi wanasema UJINGI NI KAMA UJAAMBIWA KITU, lakini mimi hapa natumia busara zangu kuwaambia bila kuwatoza hata senti tano ili niwatoe ujinga....mfikishie mwenzako na naamini wewe ukimfikishia jirani yako hata yule babu yangu ataisoma akiwa kule shambani akilima kutafuta riziki.
ASANTENI SANA KUWA NAMI NA MUNGU AWAJARIYE KATIKA YOTE MNAYOYATARIJIA KUYAFANYA MWAKA HUU WA 2009.
Mungu ibariki AFRIKA
Mungu ibariki TANZANIA

Monday 29 December 2008

Samahani kwa kuchanganya baadhi ya maneno

Ndugu washikadau samahanini sana kwa kuchanganya maneno (katika habari iliyopita)kutokana na matatizo ya kiufundu. Nahaidi nitafanya kila linalowezekana niwenapitia mara nyingi habari kabla sijazipeleka hewani.

Kwani hii inatokana na muda kuwa mchache kutokana na uwingi wa matukio. Na vile vile shahuku ya kuwapa habari au matukio mwanana na yenye manufaa kwa binadamu.

Kwani maisha anayoishi binadamu yoyote wakawaida, ni kama marudio kwahiyo mtu huna budi kufahamu kananuni za hao watu waliopitia ili uweze kufaninikiwa au kutofanikiwa kwani chaguo ni lako wewe binadamu.

Huo ni ujumbe wa leo....

YES WE CAN TANZANIA-WITH Mwl-Nyerere

YES WE CAN TANZANIA,MUNGU ALITUBARIKI WATANZANIA KUTUPA BABA WATAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, AMBAYE ALIWEZA KUONA MBALI AMBAPO MPAKA SASA WATU KIBA IDEA'S ZAKE WANAZITUMIA HATA MATAIFA MAKUBWA KAMA AMERICA, PALE WALIPOMCHAGUA RAIS BARACK OBAMA AMBAYE NI MWAFRIKA AMBAYE ALIWEZA KUTUMIA STRATEGY ZA UJAMAA KATIKA KUOMBA KURA KWA WAMEREKANI. KWANI RAIS BARACK HUSSEIN OBAMA ALIWEZA KUWA KUSHINDA KWA KISHINDO KWA MPINZANI WAKE, OBAMA ALITUMIA HELA NYINGI ZA WANANCHI KUPATA KITI CHA URAIS. AMBAPO SISI WATANZANIA (MWALIMU) KATIKA KIPINDI TULICHOPATA UHURU TULIKUWA NA SHIDA NYINGI SANA NA MKOLONI ALITUACHA TUKIWA WATUPU, AU NISEMA NA VIJISENTI VIDOGO AMBAVYO MWALIMU NA WAZIRI NA FEDHA WALIBAJETI KIPATO AMBACHO KINGETUTOSHELEZA KWA KIPINDI CHA KUANZIA LAKINI MKOLONI ALIWEZA KUTUPA VIJISENTI AMBAVYO HAVIFAI KUVISEMA.
MWALIMU ALITUMIA AKILI NYINGI SANA KUJIBANA NA KUTAKA NCHI IJITOE KATIKA JANGA LA UMASKINI NDIPO ALIPOONA KWAMBA ITABIDI WATANZANIA WAFANYE KAZI KWA KUJITOLEA.KWAMBA MTANZANIA ATATAKIWA KUFANYA SIKO MOJA KAZI ZA UMMA BILA MALIPO, NA KWELI BWANA BABU ZETU WALIWEZA KUTIMIZA HILO NA KUNA BAADHI YA BARABARA, MABWAWA, NA VINGINEVYO VINGI VILIJENGWA. KWAHIYO MIMI NASEMA BABA WA TAIFA AMBAPO WENGINE ITATUBIDI TUMUITE BABU, ALIWEZA KULETA MAENDELEO KUPITIA SERA ZAKE AMBAZO LEO HII DUNIANI WATU WANAZITUMIA.
USHAURI WANGU AU MAONI YANGU INABIDI WATANZANIA TULIENDELEZE TAIFA LETU KWA KUTUMIA MAAZIMIO YA BABA WA TAIFA KWANI, MPAKA SASA DUNIA INAENDELEA KWA UPANDE MWINGINE KUTOKANA NA HIZI AZIMIO ZETU AMBAZO. SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKIWA KUWA MFANO KATIKA MATAIFA MENGINE AMBAPO TUMEKUWA MFANO MPAKA SASA.
KWANI ZUMUNI HASA LA KUUWEKA MWENGE KATIKA MLIMA KILIMANJARO LILIKUWA KUTOA MWANGA KATIKA MATAIFA MENGINE. AMBAPO MIMI NASEMA MWANGA UNAMAANISHA TUWE MFANO WA KUIGWA KATIKA MATAIFA MENGINE. SASA NA SISI BILA KUSHINDWA INATUBIDI TUENDELEZE LIBENEKE KATIKA MATAIFA MENGINE.
MWALIMU BABA WA TAIFA ALITUFANYIA MENGI AMBAYO SISI HATUNA HAJA YA KUYAPUUZIA KWANI YALE YOTE ALIYOKUWA ANAYASEMA YANAWEZEKANA MPAKA SASA AU NISEME JUZI TUU KAKA BARAKA OBAMA AMEYATUMIA. WATANZANIA HATUNA HAJA YA KUYAPUUZIA YALE YA MWALIMU ALIYOTUACHIA KWANI MPAKA LEO HII TUSINGE KUWA HAPA TULIPO. KWANI BABA WATAIFA NA MASHUJAA WENGINE KAMA RASHIDI KAWAWA, ABDUL SYKSE NA OSCAR KAMBONA NA WENGINEO WENGI WALIWEZA KUWAPATIA FURAHA YA MAISHA WATANZANIA. HILI NI JAMBO LA MUHIMU KATIKA MAISHA YA BINADAMU, NI SAWA SAWA NA WAKINA MARTIN LUTER KING, MARCOM BILA KUMSAHAU KAKA BARACK OBAMA.
SASA NI WAKATI WA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUONYESHA UWEZO JUU YA MAENDELEO YA JAMII ZETU AMBAZO ZINATUZUNGUKA. BILA KUSAHAU KANUNI ZA TANU. KWANI TANU WALIPOKUWA WANAENDA KUOMBA UHURU WALIKUWA WANASEMA CHAMA CHA TANU NI KWAMANUFAA YA UMMA, AU LENGO LAO LILIKUWA LA ''BROTHERHOOD'' HILI NIMECHUKUA KATIKA MAONO YA BABA WATAIFA.
NAAMINI WATANZANIA TUNAWEZA KWANI KAMA AMERICA WALIWEZA SISI TUSHINDWE TUNA NINI. NA NDIO MAANA KICHWA CHA HABARI CHA HII KINASEMA 'YES WE CAN TANZANIA' KWANI SISI NDIO CHANZO CHA HAYO MANENO AU MAONO YA KAKA BARACK OBAMA HAYANA TOFAUTI NA SAUTI ZA TANZANIA NAVYO SEMA SAUTI NAMAANISHA MAAZIMIO YA TANZANIA KATIKA KUJIKOMBOA KATIKA UMASKINI, MARADHI NA UJINGA. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA,
NA NAWATAKIA WA AFRICA KHERI YA MWAKA MPYA POPOTE WALIPO DUNIA.
MAONI YANGU KWA WAAFRIKA NA WATANZANIA TUKUMBUKE NYUMBANI(AFRIKA)

Sunday 21 December 2008

CONGRATULATION PRESIDENT (Dr) JAKAYA KIKWETE

LET ME USE MY MOTHER TANG, TO TAKE THIS OPPORTUNITY AND SHARE MY HAPPINEST OF Dr (PhD-honS given to JK) JAKAYA KIKWETE, THE PRESIDENT AND AU-CHAIR-MAN
Nachukua nafasi hii kumuombea maisha marefu Rais wa Nchi yangu(yetu) TANZANIA.Mh Rais Dr Jakaya Kikwete..
Mpaka leo hii nimefikia kuandika hapa kwani nilikuwa napata kazi kuwashawishi watanzania wenzangu ambao wanaonizunguka,Kwani kwa kuwepo kwa miaka mingi kwa Mh Jakaya kutaweza kutatua tatizo letu la umaskini ambao umekuwa sugu kutokana na watu kujichukulia mali za umma bila uwoga wowote,na nina uhakika atatetea mpaka hapo mwisho, kwani mpaka sasa wenzetu na mimi tumekuwa tukiona jinsi gani anavyo wajibika katika kuleta maendeleo balani Africa na Tz, kwa ujumla, kwani kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika ugumu wa maisha na ajira, hilo nitatizo la kila mtu hata huku majuu watu tuna dhiki lakini hatuna wa kumlalamikia kwani ukifika huku ndio unaona nini maana ya maisha kwani ukiwa nyumbani kila kitu unapigwa tafu(support) kwa kuhonga au vipi!, i mean RUSHWA.Lakini huyu simba wa AFRICA wa sasa ambae anafuata nyayo za akina babu NYERERE (R.I.P) na wengineo, km KWAME..

Mimi binafsi nililiona lakini nilikuwa sina nafasi ya kuliandika mpaka leo nilipoona Mh Rais katunikiwa ndipo nikaanza kuwakumbushia watu waliokuwa wananinga jamani bado mnabisha kuhusu huyu shujaa wa baadae? Nilichowaambia waendelee kutafakari hadi miaka mitatu nazaidi..(lakini muda hauruhusu!)

Kilichobaki sisi watanzania tunatakiwa kujivunia sifa za Rais wetu kwani ndio kilanja wa nchi yetu kama nitakuwa nimetumia lugha mbadala kwani sioni sifa gani huyu jamaa anastahili kwani, watu hawa huwa wachache sana ulimwenguni na mimi nachomuombea mungu aishi miaka mingi na watanzania tafadhari naomba tuungane na tuonyeshe (support) tumuunge mkono kwa hilo na sala zetu,please please WATANZANIA tumuunge mkono RAIS wetu kwa ajili ya manufaa ya watoto wetu na wajukuu kwani kama kinachotakiwa ni kumpa muda kwani maendeleo hayapatikani kwa muda mfupi, na mpaka mimi nayaona maendeleo japokuwa kwa wengine itakuwa ngumu kwao kuona watazidi kuchagua mabaya tuu bila kusahau mazuri ya MH RAIS.

Kwani watani wetu wameweza kuuona mchango wake na watu wengine kibao balani AFRICA,DUNIA na sisi tujivunie kwa hiyo ngao aliyotunikiwa kwani inawakilisha TAIFA letu kwani ni sisi tuliyemchagua kwa kumuamini na tuzidi kumuamini kwani kazi anayofanya siyo ndogo.

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA NA DUMISHA AMANI TANZANIA NA BARANI AFRIKA KOTE. KWANI NA SISI KUNA SIKU TUTASHIKA NAMBA MOJA KATIKA HII DUNIA. TUZIDI KUJIAMINI NA KUCHAPA KAZI NA WANAFUNZI KUENDELEA KULA NONDOZIII!


NB: This is not for re-sale, but you can copy and show credits to author
(Hii siyo ya kuuzwa ingawa unaweza kuinakili, bila kusahau kumnukuu muandishi- ahsanteni)

Saturday 12 July 2008

scis company

scis company

scis company